ASKARI WA USALAMA WA BARABARANI AKIWA KAZINI

 Askari wa Usalama Barabarani akimuongoza Dereva mwenye Gari lenye namba za usajili T 400 BBB ,Baada ya kumuandikia kosa na kumuamuru apelike gari hilo Kituoni ,Baada ya kupita njia isiyo Rasmi,

Askari wa Usalama Barabarani wakiingia kwenye Gari hilo lenye namba za usajili T 400 BBB ,Baada ya kumuandikia kosa na kumuamuru apelike gari hilo Kituoni ,Baada ya kupita mkono wa kulia akitokea Magomeni kwenda (FIRE).

0 comments: