Mwenyekiti wa Tawi Tanna Moi Lucas Makisa wakifurahia jambo na viongozi wenzie katika mkutano mkuu wa wauguzi Uliofanika Mjini Tabora (kushoto)Winfred Chiwawa na Minja
Viongozi Mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Tabora Suleiman Kumchaya wa(pili kulia)wakipokea maandamono yalio tumbuiza wakati wa Mkutano Mkuu wa wauguzi Tanzania Bara 41.
Rais wa chama cha wauguzi Tanzania na viongozi wengine wakiwa wanapiga makofi baada ya kuingia mkuu wa Wilaya ya Tabora Suleiman Kumchaya
Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya Suleiman Kumchaya kwaniaba ya waziri wa
Afya na Ustawi wa Jamii Dr Hussen Mwinyi ,Akiteta jambo na Rais wa chama cha Wa Uuguzi (TANNA) Poul Magesa(kushoto) katika Mkutano Mkuu wa Tanzania Bara 41, Mkoani Tabora.
(PICHA ZOTE NA www.ujijirahaa.blogspot.com)
Mwenyekiti wa Tawi Tanna Moi Lucas Makisa wakifurahia jambo na viongozi wenzie katika mkutano mkuu wa wauguzi Uliofanika Mjini Tabora (kushoto)Winfred Chiwawa na Minja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: