ZIARA YA MATANGINI ISLAMIC SEMINSRY-KIMARA KUTEMBELEA TAASISI YA MIFUPA MOI

 Mmoja wa wanafunzi washule ya Matangini islsmic akitoa zawadi kwa mmoja wa mzazi alielazwa na mwanae katika wd  ya watoto (moi)
 Wanafunzi 150 na walim wao  wa matangini islamic ya kimara  wakiwajulia hali wazazi walio lazwa na watoto wao katika taasisi ya Mifupa Moi,walio kuja  kutoa mkono wa kheri kwa watoto na wagonjwa wa wd 17,wd 18 , wd 2katika wd za moi  na wagonjwa Wenye matatizo ya kansa waliopo katika hospitali ya Taifa Muhimbili ,Ambapo wametoa zawadi mbalimbali kama nguo,sabuni,NK.
 













0 comments: