ZAHA AGEUKA KITUKO MAN UNITED IKIONDOKA KWENDA MASHARIKI YA MBALI...AVAA OVYO HADI IKABIDI ABADILISHE NGUO UWANJA WA NDEGE



MSHAMBULIAJi mpya wa Manchester United, Wilfried Zaha alikuwa kituko wakati timu hiyo inaondoka Uwanja wa Ndege kwa ziara yake ya Mashariki mbali kujiandaa na msimu mpya.
Wakati wacehzaji wenzake wote walifika Uwanja wa Ndege wakiwa wamevaa suti za klabu na tai, Zaha, ambaye amejiunga na timu hiyo akitokea Crystal Palace, lazima atakuwa hakupata ujumbe kuhusu vazi. 
Awkward: New Manchester United signing Wilfried Zaha was the only member of the squad to arrive at the airport in casual dress as the club depart for their pre-season tour to the Far East
Awkward: New Manchester United signing Wilfried Zaha was the only member of the squad to arrive at the airport in casual dress as the club depart for their pre-season tour to the Far East
Kivyake: Mchezaji mpya wa Manchester United, Wilfried Zaha alikuwa mchezaji pekee aliyewasili amevaa kivyake
Casual: Zaha turned up in a white t-shirt, jeans and trainers, claiming to security staff he'd misplaced his official club suit (below)
Vazi la disko: Zaha alipiga T-shirt, jinzi na raba
Casual: Zaha turned up in a white t-shirt, jeans and trainers, claiming to security staff he'd misplaced his official club suit (below)
Winga huyo wa England aliteremka katika gari lake akiwa amevaa fulana nyeupe na jinzi na raba, akisema amepoteza nguo zake za zamani.
Alilazimika kuomba walinzi wa United kumpatia suti nyingine na kisha akabadilisha pale pale Uwanja wa ndege kabla ya kukwea pipa. 
Zaha ni sehemu ya msafara wa watu 198, wakiwemo makocha, wachezaji na viongozi waliosafiri kwenda Bangkok  kwa ajili ya mechi ya kwanza kati ya tano za ziara ya Asia na Australia.
Quick change: Zaha looked a good deal happier when a suit had been found
Quick change: Zaha looked a good deal happier when a suit had been found
Alibadili haraka: Zaha alionekana vizuri na mweney furaha baada ya kuvaa suti
Wachezaji waliwasili saa 1:00 usiku ikiwa ni saa mbili kabla ya ndege kuondoka.
Miongoni mwa wachezaji walioondoka ni Wayne Rooney, ambaye amekuwa akihusishwa kwa kiasi kikubwa kuondoka Old Trafford majira haya ya joto, kuhamia kwa wapinzani wa Ligi Kuu England, Chelsea. 
Kwa sasa anabakiwa kuwa mchezaji wa United na anatarajiwa kuwamo katika kikosi kitakachocheza mechi ya kwanza dhidi ya Singha All Star XI mjini Bangkok Jumamosi.
Kocha David Moyes amesema katika mahojiano na Radio mapema Jumatano ya leo kwamba alikuwa ana vikao vinne na mchezaji na amemuahidi atabaki.
On the plane: Wayne Rooney was among the Manchester United party travelling to the Far East
All smiles: David Moyes prepares to board the plane to Bangkok
Kwenye ndege: Wayne Rooney (kushoto) na Moyes kulia safarini leo
Coaching staff: Ryan Giggs and Phil Neville, who will both be on United's staff next season, chat in the terminal
Makocha: Ryan Giggs na Phil Neville kulia
Smart: Rio Ferdinand shows Zaha how it's done
Patrice Evra arrives at the airport
Watanashati: Rio Ferdinand (kushoto) na Patrice Evra kulia 
Getting comfortable: (left to right) Fabio da Silva, Alexander Buttner, Danny Welbeck, Phil Jones and Rafael da Silva have a look around the plane as United prepared to depart for Bangkok
Wako poa: Kutoka kushoto, Fabio da Silva, Alexander Buttner, Danny Welbeck, Phil Jones na Rafael da SilvaFirst class: (left to right) Fabio da Silva, Buttner, Welbeck and Jones take their seats on the plane
Daraja la kwanza: Kutoka kushoto, Fabio da Silva, Buttner, Welbeck na Jones 

RATIBA YA ZIARA YA MAN UTD KUJIANDAA NA MSIMU

Julai 13 na Singha All Star XI (Uwanja wa Rajamangala, Bangkok - Kombe la miaka 80 ya Singha) saa 8:00 mchana
Julai 20 na kombaini ya A-League (All Stars) (Uwanja wa ANZ, Sydney) saa 4:30 asubuhi
Julai 23 na Yokohama F-Marinos (Uwanja wa Nissan, Yokohama) saa 5:20 asubuhi
Julai 26 na Cerezo Osaka (Uwanja wa Osaka Nagai, Osaka) saa 5:01 asubuhi
Julai 29 na Kitchee (Uwanja wa Hong Kong, Hong Kong) saa 7:00 mchana

0 comments: