PIKIPIKI YALETA KIZAZA MATAA YA MAGOMENI DAR ES SALAAM

wananchi wakiwa na  Dereva wa pikipiki T704 BRT (kushoto)alievaa kofia ngum (Helment) kukatiza bara bara eneo la mataa ya magomeni  kwakutokua muangalifu,Baada ya kutoka kituo cha mafuta na kugongwa na Gari T763 BYK isuzu katika barabara ya  kawawa Dar es salaam.


0 comments: