PATASHIKA NGUO KUCHANIKA FERI







 Mmoja wa wafanyakazi  wa Kivuko cha Magogoni Feri Dar es Salaam jana (mwenye fimbo),alikua na wakati mgumu baada ya mfanyakazi huyo kudaiwa kuchelewa kufungua mlango na kivuko hicho kuondoka bila ya abiria kwenda Kigamboni kabla hawajapanda. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)

 Mmoja wa abiria akimkaripia kwa kumnyoshea kidole mfanyakazi wa Kivuko cha Magogoni Feri Dar es Salaam jana (mwenye fimbo), baada ya mfanyakazi huyo kudaiwa kuchelewa kufungua mlango na kivuko hicho kuondoka bila ya abiria kwenda Kigamboni kabla hawajapanda. (picha zote na www.ujijirahaa.blogspot.com)

 Mmoja wa abiria akimkaripia  mfanyakazi wa Kivuko cha Magogoni Feri Dar es Salaam jana (mwenye flana nyeupe katikati), baada ya mfanyakazi huyo kudaiwa kuchelewa kufungua mlango na kivuko hicho kuondoka bila ya abiria kwenda Kigamboni kabla hawajapanda. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)


 Umati wa wananchi wakiwawame mzunguuka mmoja wa wafanyakazi wa mv magogoni baada ya kukaidi honi ya dereva wa kivuko hicho kupiga honi mara tatu mfukulizo na dereva wakivuko hicho kuondoka bila abiria,Kutokana na umati wa wananchi hao kuwa wengi nandipo walitakakujua sababu


Wananchi wakiwa katika sintafahamu kwa kuondoka kivuko cha Magogoni bila ya abiriana huku abiria wameja hadi nje ya Banda la kusubiria Kivuko.
 Askari polisi alie kua zam nae alikiri na kuwasihi wananchi hao nakusema kweli kosa limetokea
Mwananchi akimpasha askari polisi aliekua zam , akiongea kwa uchungu kwa  uzebe  unaofanywa na baadhi ya wafanyakazi wa kivuko cha magogoni kwakuwajaza Abiria na kivuko kuondoka bila abiria,


 Wananchi pamoja na wanafunzi wakiwa wanasubiri usafiri ili wawahi kufuturu kwa wale waumini wa dini ya kiislam
 Wakisubiri Mv magogoni lirudi
 Mv kigamboni halikuondoka hadi liliporudi Mv magogoni nakupakia kwa pamoja nahata hivyo abiria walijaa hadi mlangoni










0 comments: