MAUAJI YA KUTISHA KWA VICHANGA MKOANI MBEYA: KIMOJA CHATUPWA CHOONI NA KUKANDAMIZWA NA JIWE, KINGINE CHATUPWA MTO MITA JIJINI MBEYA

KICHANGA KIKIWA KIMEKUTWA KIMETUPWA KATIKA MTO MITA ULIOPO ENEO LA MABATINI
WANANCHI  MBALIMBALI WAKIWA WANASHUHUDIA KICHANGA HICHO


ASKARI WA JESHI LA POLISI AKIOPOA MTOTO HUYO KUTOKA MTONI
ASKARI WA JESHI LA POLISI AKIWA ANAKIWEKA KICHANGA HICHO NDANI MFUKO BAADA YA KUKITOA KUTOKA MTONI


WATOTO WAKIWA WANASHANGAA KICHANGA AMBACHO KILIOPOLEWA KUTOKA MTONI

****************************
 HUYU NDIYE MTOTO ALIYE BAINI  KUTUPWA KWA KICHANGA CHOONI ENEO LA STERIO KATA YA MAANGA JIJINI MBEYA
 MWENYEKITI WA MTAA WA MAANGA MARY MWANSANKINGA AKIWA HAAMINI TUKIO LILILO MTAANI KWAKE
 ASKARI WA JESHI LA ZIMA MOTO NA UOKOAJI WAKIHANGAIKA JUU  YA KUOPOA KICHANGA HICHO KUTOKA CHOONI
 BAADHI YA MASHUHUDA WAKISUBIRIA KUONA KITOTO KIKIOPOLEWA
 ASKARI  WAMEFANIKIWA KUKITOA KITOTO HICHO CHOONI NA KUBAINI KUWA NI  CHA JINSI YA KIUME
 BAADHI YA WAKAZI WAKISHANGAA BAADA YA KITOTO KUOPOLEWA
 ASKARI WA ZIMAMOTO BAADA YA KUOSHA KICHANGA HICHO AMBACHO  KILIZALIWA KATIKA UMRI WAKE
 WANANCHI WAKILIA KWA UCHUNGU BAADA YA KUSHUHUDIA KICHANGA HICHO BAADA YA KUOPOLEWA 
 JESHI LA POLISI PAMOJA NA ASKARI WA ZIMA MOTO WAKIONDOKA ENEO LA TUKIO
HII NI NYUMBA AMBAMO MTOTO ALITUPWA CHOONI , WATU WANAJIULIZA WENGINE WANAANDAMANA KWENYE NYUMBA  ZA MAOMBI NA WAGANGA KUTAFUTA WATOTO WENGINE WANAWATUPA BILA YA KUWA NA HURUMA WALA HOFU YA MUNGU. 

*******

0 comments: