Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilali ,Akiangalia moja ya fulana zinazouzwa kwenye duka hilo.kutoka kushoto ni Meneja uendeshaji wa duka hilo, Yahaya Zuhuli na Msimamizi wa Bidha wa Shirika la East Africa Retail,Gareth Van Den Berg.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilalia akimsalimia mtoto Ahmed Mohamed ambae alisoma risala wakati wa hafla ya uzinduzi wa duka hilo Ahmed ni mwanafunzi wa darasa la 4 katika shule ya Feza.
0 comments: