SUMATRA KATIKA OPARESHENI MAALUM

 Afisa Mfawidhi Conrad Shio   wa Mamlaka ya Usafiri wa Majini na Nchi kavu  (SUMATRA)Akitoa maelekezo kwa Dereva T 476 BXS ,Kwamagari yote yanayo pita njia ya Mwananyamala yafike hadi  Soko la Makumbusho na kupita Barabara ya Hopsitali ya Mwananyamala
 Afisa Mkaguzi  wa Mamlaka ya Usafiri wa Majini na Nchi kavu  (Sumatra ) ,akitoa maelekezo kwa dereva T 476 BXS ,kwamagari yote yanayo pita njia ya Mwananyamala yafike hadi  Soko la Makumbusho na kupita Barabara ya Hopsitali ya Mwananyamala(Picha zote na www.ujijirahaa.blogspot.com)


0 comments: