VIONGOZI WAANDAMIZI WA TAASISI YA TIBA YA MIFUPA MOI ,WAKIPATA MAELEZO TOKA KWA MWEZESHAJI PROF ELISANTE DE GABRIEL

  Mwezeshaji   Prof Elisant de Gabriel Akitoa maelezo kwa Viongozi waandamizi wa Taasisi ya tiba ya Mifupa Moi
Mwezeshaji   Dr Jaraj Kikula na Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Felix wakisikiliza kwa makini Prof  Elisante wakati wa semina ya Mpango mkakati wa Taasisi hiyo wa miaka mitano  kuanzia 2013/2014 hadi mwaka 2017/2018.














0 comments: