MAJONZI KATIKA KANISA KATOLIKI JIJINI ARUSHA.

Majonzi katika Jiji la Arusha yaliotokea Majira ya Saa tano ya Asubuhi na Kusababisha kifo cha mtu mmoja na majeruhi wanaokadiriwa thelathini.Baada ya waumini walio kua katika kanisa katoliki eneo la Olasiki Arusha wakiwa katika uzinduzi wa kanisa hilo na  ndipo Mwakilishi wa Papa Fransice toka Vatikani City Alipokua akijianda kwa kukata utepe ndipo ulitokea mlipuko unao dhaniwa ni bom na kusababisha kifo cha mtu moja na majeruhi  thelathini.Nawataalam wa milipuko ya mabom wamekwisha fika jijini Arusha.Kamanda wa mkoa wa  Arusha amethibitisha kukamatwa mtu mmoja anae husishwa na tukio hilo.

0 comments: