- Katibu Mkuu wa Jumuia ya Wafanyabiashara Kariakoo, Mary Kituli akihutubia katika mkutano wa dharura wa jumuia hiyo ulioitishwa na kuwajumuisha wanajumuia hiyo kujadili mambo mbalimbali ya kupandishiwa ushuru na kodi ya taka. Katibu Mkuu wa Jumuia ya Wafanyabiashara Kariakoo, Mary Kituli akihutubia katika mkutano wa dharura wa jumuia hiyo ulioitishwa na kuwajhumuisha wanajumuia hiyo kujadili mambo mbalimbali ya kupandishiwa ushuru na kodi ya taka. Wengine ni viongozi mbalimbali wa JWK. Mwenyekiti wa Jumuia hiyo Mathias Makoi (mwenye kipaza sauti akihutubia kwenye mkutano huo. Baadhi ya wafanyabiashara
JUMUIA YA WAFANYABIASHARA KARIAKOO (JWK), WAILILIA SERIKALI KWA KUWAPANDISHIA USHURU WA FORODHA
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 6:28 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: