Bajaji no T147CAH Ikiwa imepinduka Eneo la Barabara ya msimbazi Dar es Salaam jana Baada ya Dereva Dadsani Adriano kuzidiwa kutokana na kukabwa na Askari Jamii Adam Juma |
Adam Juma( Polisi Jamii) Akipanda kwenye Gari la la Polisi Baada ya Kudaiwa Kumkaba Dereva wa Bajaji Dadsani Adriano |
Dereva Dadsani Adriano Akiingia katika Gari la Polisi kuelekea Msimbazi Polisi kwa Mahojiano zaidi.
Dotto Gama Kampuni inayo jihusisha na Maegesho ya Paking(NPS)eneo la Barabara ya Msimbazi Akisaidiwa kupanda kwenye gari la Polisi na Kuelekea Msimbazi Polisi Baada ya kupata Maumivu ya Kugongwa na Bajaji no T147CAH jana Dar es Salaam.
0 comments: