SHEREHE ZA MIAKA 49 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR ZAFANA SANA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR LEO
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 6:39 AM
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete
akiingia uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam leo kuongoza Watanzania
kusherehekea miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.(kushoto) kwenye gari hilo la wazi ni
Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davis Mwamunyange
Nyomi si ya kawaida hata pa kutema mate hakuna
Msafara wa Rais Kikwete ukizunguka uwanja wa Uhuru
Nyomi ya leo. Taswira zingine na kumwaga baadaye
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



0 comments: