![]() |
| Mwenyekiti wa Tughe Hopsitali ya Taifa Muhimbili Mziwanda Chimwege aKipita mbele Akiuaga Mwili wa Dk John Mongi jana Tayari kwa Mazishi yalio fanyika leo Samanga Marangu Moshi. |
![]() |
| Katibu Tawi Tughe Hopsitali ya Taifa Muhimbili Faustine Fiderisi aKipita mbele Akiuaga Mwili wa Dk John Mongi jana Tayari kwa Mazishi yalio fanyika leo Samanga Marangu Moshi. |
![]() |
| Mdogo wa Marehem Humphrey Mongi ,Akitoa Shukrani katika uongozi mzima Pamoja na Wafanyakazi kwa Ujmla |
![]() |
| Baadhi ya wanafunzi wa Jitegeme Sc School waliofika jana kumsidikiza Mmoja wa mtoto wa Marehem Dk John mongi. |
![]() |
| Mwali wa Dk John Mongi Ukiingizwa Kwenye gari Maalu jana Tayari kwa Mazishi yalio fanyika leo Samanga Marangu Moshi. |
![]() |
| Mwili wa Dk John Mongi jana ulisindikizwa na Bodaboda Tayari kwa kusafirishwa kwenda Marangu Moshi kwa Mazishi yalio fanyika leo Samanga Marangu Moshi. |
![]() |
| Mwili wa Dk John Mongi Ukiingizwa Kwenye gari jana Tayari kwa Mazishi yalio fanyika leo Samanga Marangu Moshi. |









0 comments: