Rais. Dkt. Magufuli akiwa
kwenye mazungumzo na rais mstaafu, Benjamin Mkapa Ikulu jijini Dar es
Salaam, Rais pia amekutana na Waziri Mkuu mstaafu na
aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph
Warioba. Rais alikutana na kufanya mazungumzo na rais mstaafu Jakaya
Kikwete Siku moja kabla ya kukutana na viongozi hao.
Rais akiwa kwenye mazungumzo na Jaji Warioba


0 comments: