WATU TISA WALIOHIFADHIWA MSIKITI WA SUNI WAKAMATWA NA MILIPUKO.
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 3:44 PM
Kamanda
wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo, akiwaonesha waandishi wa
habari ( hawaonekani pichani) milipuko hatari aina ya ' Water explosives
gel ' iliyokamatwa jana usiku kutoka kwa watuhumiwa tisa waliokuwa
wamehifadhiwa ndani ya msikiti wa Suni uliopo Tarafa ya Kidatu, wilayani
Kilombero mkoani Morogoro.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: