Saturday, April 18, 2015

USIKU WA REHEMA KATIKA HAFLA YA KUAGWA(KITCHEN PARTY) ILIYOFANYIKA UKUMBI WA RUNYAGO DAR ES SALAAM

 Biharusi  mtarajiwa Rehema Ayubu akiwa katika  pozi mara baada ya kumalizika  hafla ya kuagwa kwake(KITCHEN PARTY)  ikiwa ni mwanzo wakujiandaa na  Ndoa takatifu inayotarajiwa kufungwa mwishoni mwa wiki hii nyumbani kwao kigamboni  Dar es Salaam.
 Bi harusi  Rehema Ayubu katika pozi na mama yake mdogo Amina Kilindo (nyuma ya biharisi mtarajiwa)
 Dada wa Biharusi mtarajiwa Rehema Ayubu, Zamaradi Ayubu akimpongeza mdogo wake kwa  kumkisi shavuni  kumaliza hatua hiyo
  Bi harusi  mtarajiwa  Rehema Ayubu katika pozi takatifu akitabasamu
  Bi harusi  Rehema Ayubu katika pozi la kujimwaga
  Bi harusi  Rehema Ayubu katika pozi


  Bi harusi  Rehema Ayubu katika pozi akiwa na mama yake mzazi Amina Max
  Bi harusi mtarajiwa   Rehema Ayubu katika  picha ya pamoja na familia yake mara baada ya kumalizia hafla hiyo
  Bi harusi mtaraji   Rehema Ayubu katika pozi akiwa na familia yake
(PI0CHA ZOTE NA KHAMIS MUSSA)

No comments:

Post a Comment