USIKU WA REHEMA KATIKA HAFLA YA KUAGWA(KITCHEN PARTY) ILIYOFANYIKA UKUMBI WA RUNYAGO DAR ES SALAAM
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 3:59 PM
Biharusi mtarajiwa Rehema Ayubu akiwa katika pozi mara baada ya kumalizika hafla ya kuagwa kwake(KITCHEN PARTY) ikiwa ni mwanzo wakujiandaa na Ndoa takatifu inayotarajiwa kufungwa mwishoni mwa wiki hii nyumbani kwao kigamboni Dar es Salaam.
Bi harusi Rehema Ayubu katika pozi na mama yake mdogo Amina Kilindo (nyuma ya biharisi mtarajiwa)
Dada wa Biharusi mtarajiwa Rehema Ayubu, Zamaradi Ayubu akimpongeza mdogo wake kwa kumkisi shavuni kumaliza hatua hiyo
Bi harusi mtarajiwa Rehema Ayubu katika pozi takatifu akitabasamu
Bi harusi Rehema Ayubu katika pozi la kujimwaga
Bi harusi Rehema Ayubu katika pozi
Bi harusi Rehema Ayubu katika pozi akiwa na mama yake mzazi Amina Max
Bi harusi mtarajiwa Rehema Ayubu katika picha ya pamoja na familia yake mara baada ya kumalizia hafla hiyo
Bi harusi mtaraji Rehema Ayubu katika pozi akiwa na familia yake
(PI0CHA ZOTE NA KHAMIS MUSSA)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: