
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Zavala, Buyuni wilayani Ilala, Chiku Mwalufamba, akiwa chini ya ulinzi wa Polisi wa kike wakati akimpeleka kwenye Kituo cha Polisi cha Chanika, baada ya Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kutoa amri ya Mwenyekiti huyo wa mtaa kushindwa kutoa maelezo ya kuridhirisha dhidi ya thuhuma za kuuza viwanja vya umma kiyume cha sheria, zilizotolewa na baadhi ya wananchi katika mkutao wa hadhara alioanya Makonda kweye viwaja vya Kituo cha Polisi cha Chanika, akiwa katika ziara ya kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za wananchi, wilayani ilala, leo.

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Zavala, Buyuni wilayani Ilala, Chiku Mwalufamba, akingizwa kweye gari la Polisi chini ya ulinzi,

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Zavala, Buyuni wilayani Ilala, Chiku Mwalufamba, akiwa katika gari la Polisi akati wakati akimpeleka kwenye Kituo cha Polisi cha Chanika.
ZIARA ILIANZIA HAPA

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alianzia ziara yake kwa kukagua uendeshaji wa Kiwanda wa cha tambi cha TanzaniaPasta, kilichopo eneo la Viwanda, Vingunguti wilayani Ilala. akizungungumza alipongeza hatua ya kuanzishwa kiwanda hicho akisema kinachangia lengo la Rais John Magufuli la kutaka Tanzania ijayo kuwa ya viwanda kwa lengo la kukuza nakuimarisha uchumi wa Taifa.
Hata hivyo aliutaka uongozi wa Kiwanda hicho kuhakikisha kinatimiza masharti ya utunzaji mazingira ikiwa ni pamoja na kutotiririsha maji hovyo, na pia kuhakikisha wananchi waliokusudiwa kulipwa ili kuondoka karibu na kiwanda wanafanyiwa hivyo mapema.
Pia aliwaasa wananchi kusisitiza watoto wao kusoma masomo ya sayansi kwa kuwa kazi nyingi za viwandani zinafanywa na masomi wa somo hilo, na kwamba vinginevyo atakaoajiriwa bila kuwa na elimu ya sayansi watabaki kuwa waokota maboksi.

Uongozi wa Kiwanda ukimtembeza makonda katika maeneo mbalimbali ya kiwanda. Kushoto ni Katibu Tawala wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo.(P.T)

Uongozi
wa Kiwanda ukimtembeza makonda katika maeneo mbalimbali ya kiwanda.
Kushoto ni Katibu Tawala wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo.

Meneja
uzalishaji wa kiwanda cha Tanzania Pasta Industries Limited, Imran Ul
Rashid akiyooshamkono kumumpa maelezo Makonda iyekuwa akikagua shughuli
za kiwanda hicho

Baadhi ya ujumbe wa Makonda katika ziara hiyo Kiwandani

Meneja
uzalishaji wa kiwanda cha Tanzania Pasta Industries Limited, Imran Ul
Rashid akiyooshamkono kumumpa maelezo Makonda iyekuwa akikagua shughuli
za kiwanda hicho

Makonda akitazama hatua za mwisho za utengeezaji tambi katika kiwanda hicho

Uongozi wa Kiwanda ukimtembeza makonda
katika maeneo mbalimbali ya kiwanda. Kushoto ni Katibu Tawala wilaya ya
Ilala, Edward Mpogolo.

Uongozi wa Kiwanda ukimtembeza makonda katika maeneo mbalimbali ya kiwanda.

Makonda akitazama tambi zinavyohifadhiwa katika makasha

Uongozi wa Kiwanda ukimtembeza makonda katika maeneo mbalimbali ya kiwanda.

Makonda akipata maelezo ya kina kuhusu uzalishaji na ubora wa tambi

Makonda akionyeshwa maboksi ya tambi.UKAGUZI WA UJENZI WA BARABARA KIWANGO CHA LAMI

Baadhi ya ananchi wakiwa kwenye barabara ya Segerea Bonyokwa ambayo ipo katika kujengwa kwa kiwango cha lami DARAJA LA LINALOUNGANISHA BONYOKWA NA KINYEREZI

Mkuu wa
mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alikagua pia ujenzi wa daraja
linalounganisha Bonyokwa na Kinyerezi wilayani Ilala, ambalo ujnezi wake
umekuwa ukisua sua kukamilika. Makonda ameiagiza kampuni inayofanya
ujenzi huo kuhakikisha unakamilika baadaya siku 25 kuanzia leo.
Vinginevyo hatua zaidi zitachukuliwa dhidi ya kampuni hiyo ya Alex,
ikiwemo kutopewa kazi yoyote mkoani Dar es Salaam.

Hali ya daraja hilo

Mbunge wa Segerea Bona Kalua akitoa maelezo kuhusu ujenzi wa araja hilo

Mkandarasi wa Kampuni ya Alex akitoa maelezo

Mkuu wa
mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza baada ya kukagua soko la
Kelezange lililopo Kivule ambalo linakabiliwa na mgogoro wa kuuzwa
baadhi ya maeneo yao

Makonda akikagua daraja la Kivule kwa kupita na gari lake.

Mkuu wa
mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na wananchi katika eneo
la Ukonga, akiwa katika ziara hiyo. Aliwataka wananchi kwenda katika
masoko maalum yaliyopangwa na kuacha kufanya biashara barabarani.
SHULE YA MSINGI YA KISASA ILIYOJENGWA NA SERIKALI


Mkuu wa
mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza baada ya kuzindua nyumba
vya madarasa katika shule ya Msingi Maghorofani, Ukonga

Baadhi ya madarasa ya shule hiyo

Makonda akiondoka baada ya kuzindua madarasa hayo

Baadhi ya
waandishi mahiri wa habari waliopo kwenye ziara ya Mkuu wa mkoa wa Dar
es Salaam, Paul Makonda. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO-theNkoromo Blog
No comments:
Post a Comment