TBL YATOA SH. MIL. 29 ZA UJENZI WA KISIMA SARANGA, DAR
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu
akimkabidhi Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa King'ongo, Benetris Mapesi
mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil 29 za msaada wa ujenzi wa
kisima cha maji katika mtaa huo uliopo Kata ya Saranga, Kinondoni Dar es
Salaam. Hafla hiyo ilifanyika katika mtaa huo mwishoni mwa
wiki.Wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni Mkandarasi wa kisima hicho,
Onesmo Sigala (wa pili kulia) wa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya MO
Resources Limited,na Mjumbe wa Kamati ya Maji ya Mtaa wa King'ongo, Anna
Kibwana ( wa pili kushoto).
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya ukandarasi ya MO Resources Limited, Onesmo Sigala (kulia) mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil 29 za msaada wa ujenzi wa kisima cha maji katika mtaa huo uliopo Kata ya Saranga, Kinondoni Dar es Salaam. Hafla hiyo ilifanyika katika mtaa huo mwishoni mwa wiki.Wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni Mjumbe wa Kamati ya Maji ya Mtaa wa King'ongo, Anna Kibwana (wa pili kushoto),Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa King'ongo, Benetris Mapesi.

No comments:
Post a Comment