(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa www.ujijirahaa.blogspot.com
Miss Chang'ombe 2014, Sitti Mtemvu, akiwapungia mkono mashabiki baada ya kutangazwa na kuvukwa taji hilo Dar es Salaam.
Miss Chang'ombe 2014, Sitti Mtemvu, akipongezwa na mama yake mzazi ,ambaye ni Dwani viti maalum jimbo la Temeke,Mariam Mtemvu, baada ya kutangazwa na kuvikwa taji hilo Dar es Salaam jana
Msanii mchekeshaji Mussa Kitale almaarufu kama Mkude Simba akitumbuiza mashabiki.
Redd's Miss Changombe 2014, Sitti Mtemvu (22), akivishwa taji la umalkia wa kitongoji hicho, Redd's Miss Temeke 2013 na Top Model, Narieta Boniface baada ya kuwashinda warembo wenzie 11 katika shindano lililofanyika Ukumbi wa Klabu ya Sigara Chang'ombe, Dar es Salaam juzi.
Washindi walioingia tano bora. Kutoka kushoto ni Lili Lothy, mshindi wa nne, Pauline Elisante (mshindi wa pili), Miss Chang'ombe 2014, Sitti Mtemvu, Davena David (mshindi wa tatu) na Patricia Ponsian. Wasanii wa bendi ya muziki wa dansi ya JKT, Ruvu wakitumbuiza katika shindano hilo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya BMP Promotions inayoanza shindano la Miss Temeke, Benny Kisaka akitambulisha viongozi mbalimbali waliohudhuria onesho hilo.
No comments:
Post a Comment