Waziri Mkuu Wa zamani ,Edward Lowassa Akiingia Katika sekondari ya Benjamini Mkapa,Akiwa ni Mgeni Rasmi katika Mahafali ya 15 ya shule hiyo.Kulia ni mkuu wa Shule Mr Gebo Lugano,Makamu mkuu wa (utawala)mama Shanina Athman na kushoto Ni Mwenyekiti wa bodi ya shule Mr Maneno Mbegu.
No comments:
Post a Comment