Mbunge wa Jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Wabunge Mkoa wa Dar es Salaam Abbas Mtemvu akihutubia wananchi na Vijana wa UVCCM katika Hafla iliyoandaliwa na vijana hao baada ya kupongezwa kwa Diwani wa Kata ya Sandali Wilbati Tarimo na Mbunge wa Jimbo hilo. Abbas Mtemvu Dar es Salaam. kwa mambo mazuri waliyo fanyiwa vijana hao wa kata ya sandali (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (wapili kulia) akiwa na baadhi ya viongozi katika Hafla hiyo ya kupongezwa na vijana wa UVCCM katika Hafla ya kupongezwa kwa Mbunge wa jimbo hilo na Diwani wake.
Msafara wa Pikipiki wa Vijana wakielekea katika kiwanja cha Sandali ambapo ndipo hafla hiyo ilifanyika
Mbunge wa Jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Wabunge Mkoa wa Dar es Salaam akimgusa nyoka wa kikundi cha Wasanii wa Hisia Grop mara baada ya kumaliza kuchezea nyoka huyo kwenye uwanja wa Sandali baada ya Vijana wa UVCCM katika Hafla iliyoandaliwa na vijana hao wakati wa kupongezwa kwa Diwani wa Kata ya Sandali Wilbati Tarimo na Mbunge wa Jimbo hilo. Abbas Mtemvu (wa pili kulia).
Msanii wa kikundi cha Fredom cha Mwembeladu Omari Miraji akitoa moja ya shoo yake wakati wa Hafla iliyoandaliwa na vijana hao wakati wa kupongezwa kwa Diwani wa
Kata ya Sandali Wilbati Tarimo na Mbunge wa Jimbo hilo. Abbas Mtemvu
Msanii wa Kikundi cha Fredomu cha Mwembeladu Abdala Zuberi akitoa shoo mbele ya mgeni rasmi wakati wa Hafla ya pongezi na shukurani iliyo andaliwa na Vijana wa uvcc kwa Diwani wa Kata hiyo Wilbati Tarimo na Mbunge Jimbo hilo
No comments:
Post a Comment