NAPE AKANUSHA : HATUKISAIDII CHAMA CHA ACT WAZALENDO

Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Nape Nnauye amesema chama chake hakikisaidii kwa fedha chama kipya cha ACT wala kiongozi wake mkuu Zitto Kabwe kama inavyoenezwa ktk mitandao mingi ya kijamii

Source: Raia Tanzania

0 comments: