MZIMU WA AJALI WAENDELEA KUTEKETEZA NDUGU ZETU NI KUFUATIA BASI LA UNIT NA LORI LA KAMPUNI YA COCA COLA YAPATA AJALI- SHINYANGA

unnamed 
Watu 10 wafariki Dunia na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa kutokana na ajali ya basi la UNIT na Lori la Kampuni ya Coca Cola Shinyanga.
Chanzo Itv

0 comments: