Azindua Ripoti ya Hali ya Mazingira 2014
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akikabidhi Tunzo ya ushindi kwa mchangiaji bora katika maendeleo
ya Jamii kwa mwaka 2014, Makamu wa Rais wa kampuni ya North Mara Gold
Mine, Bw. Deo Mwanyika wakati wa ghafla fupi iliyofanyika jana usiku
April 21, 2015 katika Hoteli ya Hyyat Regence Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akipokea Tunzo ya zawadi ya picha kutoka kwa waandaaji wa
mashindano ya Tunzo ya mchangiaji bora katika maendeleo ya Jamii kwa
mwaka 2014, wakati wa ghafla fupi iliyofanyika jana usiku April 21, 2015
katika Hoteli ya Hyyat Regence Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, katikati akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mashindano
ya Tunzo ya mchangiaji bora katika maendeleo ya Jamii kwa mwaka 2014
kutoka katika makampuni mbalimbali ya uchimbaji, wakati wa ghafla fupi
iliyofanyika jana usiku April 21, 2015 katika Hoteli ya Hyyatt Regence
Dar es Salaam. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na msanii wa nyimbo za injili Mbasha alipokutana nae kwenye mashindano ya Tunzo ya mchangiaji bora katika maendeleo ya Jamii kwa mwaka 2014, yaliyofanyika jana usiku April 21, 2015 katika Hoteli ya Hyyat Regence Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya viongozi wa makampuni ya uchimbaji madini ambao ni washiriki wa mashindano ya Tunzo ya mchangiaji bora katika maendeleo ya Jamii kwa mwaka 2014, yaliyofanyika jana usiku April 21, 2015 katika Hoteli ya Hyyat Regence Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Steven Masele alipowasili katika Ukumbi wa Jengo la Mwalim Nyerere leo April 22,2015, kwa ajili ya kuzindua Ripoti ya Hali ya Mazingira kwa waka 2014. Kushoto Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samwel Sitta kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa uzindua wa Ripoti ya Hali ya Mazingira kwa mwaka 2014. Katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo April 22, 2015.
Viongozi na watendaji wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipokua akiwahutubia wakati wa uzindua wa Ripoti ya Hali ya Mazingira kwa mwaka 2014. Katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo April 22, 2015.
Viongozi na watendaji wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipokua akiwahutubia wakati wa uzindua wa Ripoti ya Hali ya Mazingira kwa mwaka 2014. Katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo April 22, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizindua rasmi Ripoti ya Hali ya Mazingira kwa mwaka 2014. Katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam leo April 22, 2015. Kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan, kushoto waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Mhe. Dkt. Binilith Mahenge.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi kopi ya kitabu cha Ripoti ya Hali ya Mazingira kwa mwaka 2014. Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalando mara baada ya kuzindua Ripoti hiyo leo April 22, 2015 Katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na watendaji wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, baada ya kuzindua rasmi Ripoti ya Hali ya Mazingira kwa mwaka 2014, leo April 22, 2015 Katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha zote na OMR)
No comments:
Post a Comment