Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete (pichani kati) na Waziri Mkuu
Mh.Mizengo Pinda (pichani shoto) wakishuhudia askari wa jeshi la
Wananchi (JWTZ) wakipiga risasi
hewani kama sehemu ya heshima ya kumuaga
aliyekuwa mkuu wa wilaya mpya ya Kyerwa mkoani Kagera leo,Marehemu
Luteni Kanali Benedict Kitenga (mstaafu) huko kwenye makaburi ya Mlima
Kola Kigurunyembe mkoani Morogoro. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment