NAIBU WAZIRI WA AFYA AFUNGUA KONGAMANO LA KISAYANSI LA 32 NA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA CHAMA CHA MADAKTARI WA KINYWA NA MENO TANZANIA (TDA) LEO NOVEMBA 22- 24 2017 DODOMA

 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile akifungua Kongamano la Kisayansi la 32 na Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania (TDA), Novemba  22-24,  2017 katika Ukumbi wa Mkutano wa LAPF uliopo Dodoma, kuanzi kulia ni Rais wa Chama hicho Dkt. Lorna Carneiro, Mkurugenzi wa Utumishi-Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Makwaia Makani na Mratibu wa Timu za Usimamizi naUendeshaji wa Huduma za Afya Mikoani Tanzania (TAMISEMI), Dkt. James Kengia (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA- DODOMA)
 Rais wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania (TDA), Dokt. Lorna Carneiro (wa pili kulia) akizungumza jambo na  Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile wakati alipowasili katika Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania (TDA),  uliofanyika Ukumbi wa Mkutano wa LAPF Dodoma leo, kuanzi kushoto ni Mkurugenzi wa Utumishi  Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Makwaia Makani na Makamu wa Rais wa Chama hicho Dkt. Ambege Mwakatobe.
 Mkurugenzi wa Utumishi  Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Makwaia Makani (wa pili kulia) akisalimiana na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile mara alipowasili katika Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania (TDA),  uliofanyika Ukumbi wa Mkutano wa LAPF Dodoma leo, kulia ni Makamu wa Rais wa Chama hicho Dkt. Ambege Mwakatobe na kuanzi kushoto ni Rais wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania (TDA), Dokt. Lorna Carneiro na Mwakilishi Kaimu Mganga Mkuu wa Meno Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dokt. Angelina Sijaona
 Makamu wa Rais wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania (TDA) Dkt. Ambege Mwakatobe (wakwanza kulia) akisalimiana na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile
 Rais wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania (TDA), Dokt. Lorna (kulia) akimuelekeza jambo Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile mara alipowasili katika Uzinduzi wa Kongamano la Kisayansi la 32 na Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania (TDA) Novemba  22-24,  2017. katika Ukumbi wa Mkutano wa LAPF uliopo Dodoma
 Meneja wa Tawi la Benk ya NMB Dodoma, Harold Lambileki (wa pili kushoto) akipiga makofi na wafanyakazi wenzake wakati Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile alipowasili katika Uzinduzi wa Kongamano la Kisayansi la 32 na Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania (TDA) leo wapilikulia ni Meneja wa Kanda Kitengo cha Serikali
 Mkuu wa Idara ya Huduma ya Kinywa na Meno Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), na Rais aliyemaliza muda wake Chama Cha Madaktari wa Kinywa na MenoTanzania (TDA), Dkta Rachel Mhavile (kulia) akisalimiana na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile mara alipowasili katika Uzinduzi wa Kongamano la Kisayansi la 32 na Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania (TDA)
 Daktari wa Meno Wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera akiendesha Mkutano huo

 Washiriki
 Washiriki
 Naibu waziri katika picha ya pamoja


 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akizungumza na wafanyakazi wa Benk ya NMB Dodoma wakati wa Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania (TDA), wa kwanza kulia ni Meneja wa Tawi la  Benk ya NMB Dodoma, Harold Lambileki, Mganga Mkuu wa Meno Mkoa wa Dodoma Dkt. Samwel Seseja (kushoto) akisalimiana na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile mara alipowazili katika uzinduzi wa Uzinduzi wa Kongamano la Kisayansi la 32 na Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania (TDA) leo Rais wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania (TDA), Dokt. Lorna Carneiro akizungumza katika uzinduzi huo
 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile akizungumza jambo wakati wa Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania (TDA)


0 comments: