NAIBU WAZIRI OFISI YA RAIS TAMISEMI AFUNGA MKUTANO WA KONGAMANO LA KISAYANSI LA 32 NA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA CHAMA CHA MADAKTARI WA KINYWA NA MENO TANZANIA (TDA) NOVEMBA 24, 2017

Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI George Joseph kakunda afunga Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania (TDA) Novemba 24, 2017 katika Ukumbi wa LAPF uliopo Dodoma (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) 
Rais aliyemaliza muda wake wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na MenoTanzania (TDA), Dkt. Lorna Carneiro (wa nne kushoto) akizungumza jambo katika mkutano huo, watatu kushoto ni  mrithi wake Dkt. Ambege Mwakatobe wa tatu kushoto

Mwakilishi Kaimu Mganga Mkuu wa Meno Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dokt. Angelina Sijaona akizungumza jambo ktika Mkutano huo
 Rais Mteule wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania (TDA), Dkt. Ambege Mwakatobe (wa kwanza kulia) akizungumza jambo kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, George Joseph (wa pili kulia) kakunda kufunga Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania (TDA) Novemba 24, 2017 katika Ukumbi wa LAPF uliopo Dodoma


Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, George Joseph kakunda (wa nne kushoto) waliokaa katika picha ya pamoja

0 comments: