MAAFISA UUGUZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAPATIWA MAFUNZO YA KUMPIMA MGONJWA UMEME WA MOYO (ECG)
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 1:25 AM
Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Pal Bhadreshwara akionyesha namna ya kumpima mgonjwa
umeme wa moyo (Electrocardiogram - ECG) wakati wa mafunzo ya siku tano
ya kutoa huduma kwa wagonjwa walioko katika chumba cha uangalizi maalum
(ICU) yanayotolewa na maafisa uuguzi kutoka Taasisi ya Open Heart
International ya nchini Australia.
Maafisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakijadili namna ya kumpima mgonjwa
umeme wa moyo (Electrocardiogram - ECG) wakati wa mafunzo ya siku tano
ya kutoa huduma kwa wagonjwa walioko katika chumba cha uangalizi maalum
(ICU) yanayotolewa na maafisa uuguzi kutoka Taasisi ya Open Heart
International ya nchini Australia.
Kaimu
Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Huduma ya Uuguzi kutoka Taasisi ya Moyo
Jakaya Kikwete (JKCI), Robert Mallya akiwaonyesha wauguzi jinsi ya kumpima mgonjwa
umeme wa moyo (Electrocardiogram-ECG) wakati wa mafunzo ya siku tano ya
kutoa huduma kwa wagonjwa walioko katika chumba cha uangalizi maalum
(ICU) yanayotolewa na maafisa uuguzi kutoka Taasisi ya Open Heart
International ya nchini Australia.
Afisa Uuguzi kutoka Taasisi ya Open Heart International ya nchini Australia Deconne Jones akiwaeleza jinsi ya kumpima mgonjwa
umeme wa moyo (Electrocardiogram - ECG) Maafisa Uuguzi wa Taasisi ya
Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Danieli Yohana (katikati) na Mali Sabuni
(kulia) wakati wa mafunzo ya siku tano ya kutoa huduma kwa wagonjwa
walioko katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) yanayofanyika JKCI.
Afisa Uuguzi kutoka Taasisi ya Open Heart International ya nchini Australia Kiasha Munnis akifundisha jinsia ya kumpima mgonjwa
umeme wa moyo (ECG) kwa wauguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
(JKCI) wakati wa mafunzo ya siku tano ya kutoa huduma kwa wagonjwa
walioko katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) yanayotolewa na wauguzi
hao.
Maafisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakifuatilia kwa makini maelekezo ya jinsi ya kumpima mgonjwa
umeme wa moyo (ECG) wakati wa mafunzo ya siku tano ya kutoa huduma kwa
wagonjwa walioko katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) yanayotolewa
na maafisa uuguzi kutoka Taasisi ya Open Heart International ya nchini
Australia.

Mfunzo ya jinsi ya kumpima mgonjwa umeme wa moyo (ECG) yakiendelea.
Picha na JKCI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: