MAKAMU WA RAIS TANZANIA MHE, SAMIA SULUHU AFUNGUA KONGAMANO LA WOMEN ADVANCING AFRIKA (WAA)

Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu akizungumza kwenye kongamano la wanawake la Women Advancing Africa (WAA)lenye lengo  la kutatua changamoto na kuendesha maendeleo ya kiuchumi Afrika jana, Kongamano linaloendelea jijini Dar Es Salaam na kumalizika siku ya jumamosi.
Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu na Mama Graca Machel wakiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa kongamano la WAA.

0 comments: