MKUU WA MAJESHI ATEMBELEA MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJAA DAR ES SALAAM

 Mkuu wa Majeshi, Jenerali Venance Mabeyo (kushoto) akizungumza na wananchi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa  Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana, ambapo walishiriki kutoa huduma mbalimbali za kijamii.
Mkuu wa Majeshi, Jenerali Venance Mabeyo akizungumza na wanamuziki wa Bendi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Mwenge Jazz wakati wa maadhimisho Siku ya Mashujaa  Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana, ambapo walishiriki kutoa huduma mbalimbali za kijamii. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

0 comments: