FAMILIA YA MTEMVU YATOWA SHUKRANI


 Familia ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke , Abbas Mtemvu yatowa sadaka ya shukrani kufuatia kifo 
cha mama yao mpendwa, Sitti Mtemvu katika Kanisa la Yesu Kristo Huduma ya Maombi na Maombezi lililopo Mbezi Salasala kwa Nabii Frola Mack, ambapo familia hiyo hivi karibuni inatarajia kuhitimisha Arubaini ya mama yao mpendwa. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
 Mtoto wa Marehemu Sitti Mtemvu,  Amina Mtemvu (kulia) akizungumza jambo na  Nabii, Frola Mack (kusho).
Waumini wakisikiliza kwa makini wakati Nabii,  Frola Mack alipokuwa akizungumza neno


Mtoto wa marehemu Sitti Mtemvu,  Herry Mtemvu (kulia) akizungumza jambo wakati walipofika katika Kanisa la Yesu Kristo Huduma ya Maombi na Maombezi lililopo Mbezi Salasala kwa Nabii Frola Mack, la  kutowa shukrani

Mtoto wa Marehemu Sitti Mtemvu,  Amina Mtemvu (kulia) akitowa sadaka ya shukrani Mama Mtemvu (kushoto) akizungumza na Nabii, Frola Mack  katika Kanisa la Yesu Kristo Huduma ya Maombi na Maombezi lililopo Mbezi Salasala

0 comments: