MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 46, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 13, 2017.

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiongoza kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Juni 13, 2017.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Angeline Kairuki akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Juni 13, 2017.
 Naibu Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii ,Jinsia ,Wazee na Watoto Mhe.Dk Khamis Kigwangalla  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Juni 13, 2017.
 Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Edwin Ngonyani akifuatilia jambo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dk Suzan Kolimba  hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Juni 13, 2017.
 Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Vijana  Mhe.Anthony Mavunde akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Juni 13, 2017.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera ,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza jambo na Mbunge wa Mtama Mhe.Nape Nnauye  katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Juni 13, 2017.
 Mbunge wa Viti maalum (CCM) Mhe.Fatma Toufiq akiuliza swali katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Juni 13, 2017.
Mbunge wa Viti maalum (CCM) Mhe.Ritta Kabati akiuliza swali katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Juni 13, 2017.
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni ,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura akiwa katika picha ya pamoja na wanakwaya wa Furahini K.K.K.T Ilongero-Mijuhu Singida  Bungeni Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni ,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Kwaya ya Furahini K.K.K.T Ilongero-Mujuhu Singida walipokuja kumtembelea Bungeni mjini Dodoma.

Picha zote na Daudi Manongi, MAELEZO, DODOMA.

0 comments: