ASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA

 Bukuku asherehekea Siku yake ya kuzaliwa nje ya nchi na Mume wake
 Nisiku aloiteua Mungu kwa mimi kuingia Duniani, Nakushukuru Mungu na baada ya kumshukuru mwenyezi mungu kwakufikia siku hii ya leo, Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kutoka moyoni mwangu kuwa shukuru ndugu zangu wote wakubwa kwa watoto familia yangu majirani zangu wote wakubwa kwa watoto marafiki zangu woooooooteee wa FB wakike na wakiume nayoyote niliyemsahau kwenye makundi hàyo niliyoyataja kwani kumtaja mmoja mmoja si rahisi 'napenda kusema AHSANTENI SANA SANA SANAAA'kuwa pamoja nami nakunitakia yaliyo mema katika maisha yangu nakunipongeza siku yangu ya kuzaliwa mungu awabariki sana sana 'nasema AHSANTENI 'mungu yupomoja nanyi  na zaidi ya yote nimshukuru Mume wangu kipenzi, rafiki yangu Dr , Albert kwakuwa mshauri wangu na anavyo nijali, maisha mema Mungu mzidishie pamoja na wazazi walomzaa Dua nawaombea popote walipo na wazazi wangu pia, 
(Amina)Hongereni sana! Mkewangu kwa kufikia siku ya leo  Na Mungu azidi kututimizia faraja ya mioyo yenu, huku tukimcha Mungu' kwa dhati ya kweli!

Tazama ni kwa matashi yake 

0 comments: