AKISHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA


 Sadda Hashim (kulia) wakilishana kipande cha keki na mama yake mzazi Masha wakati alipokuwa akisherehekea siku ya kuzaliwa iliyofanyika Mei 31, 2017 Dar es Salaam. (PICHA KWA HISANI YA UJIJI RAHAA BLOG)
Masha kulia akinywa kinywaji cha Shampen  mara baada ya kugonganisha glas na famila yake zenye kinywaji hicho Dar es Salaam jana 

0 comments: