MBUNGE WA JIMBO LA TANGA ALHAJI MUSSA MBARUKU ATEMBELEA KUONA ATHARI ZA MAFURIKO ENEO LA NEEMA DARAJANI

 Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku (wa tatu kushoto) akiteta jambo na mmoja wa wakazi wa Jiji la Tanga eneo la Neema mara baada ya kukutana njiani wakati mbunge huyo alipokwenda kukagua kujionea athari zilizotokana na mvua kubwa iliyonyesha kulia ni Diwani wa Kata ya Mnyanjani (CUF) Thobias Haule
 Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku (wa pili kushoto) akisisitiza jambo wakati alipotembelea eneo la Neema kujionea athari za uharibifu wa barabara ya Tanga hadi Pangani kutokana na mvua kubwa iliyonyesha juzi na kusababisha barabara hiyo kutokupitika
 Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku (wa kwanza kulia) akiangalia athari za miundombinu ya barabara ya Tanga hadi Pangani katika eneo la Neema ambako alikwenda kuangalia namna ilivyoharibika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha
 Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akitazama
 Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku (wakwanza kulia) akitembelea kujionea athari za barabara hiyo
 Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akitembelea kujionea athari za barabara hiyo
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akitembelea kujionea athari za barabara hiyo
 Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku (aliye vaa kofia iliyofumwa kwa mkono) akisalimiana na wananchi wa Tangasisi
 Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku (wa pili kulia) akipata maelekezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Bacc Technicla co.Ltd ya Mkoani Dodoma , Husein Bakeme kuhusu namna wanayofanya kuondoa adha hiyo
  Katapila likiendelea kufanya kazi ya kurekebisha barabara ya Tanga -Pangani eneo la Neema ambalo lilikuwa halipitiki kutokana na kuharibika vibaya na kusababisha magari kushindwa kupita
 Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku (kulia) akitembelea eneo la Neema
 Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku (kulia) akiteta jambo na Diwani wa Kata ya Masiwani kushoto wakati walipotembelea eneo la Neema kujionea athari za barabara kutokana na mvua zilizonyesha
 Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku (kulia) akiwa na diwani wa Kata ya Masiwani Said Alei wakati akitembelea eneo la Neema ambalo limeathirika kutokana na mvua kubwa zilizonyesha mkoani Tanga
 Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kushoto akisalimiana na wananchi wa Jimbo lake
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku (katikati) akiteta jambo na wapiga kura wake mara baada ya kutembelea eneo la Neema ambalo limeathirika miundombinu ya barabara 
 kutokana na mvua kubwa zilizonyesha jijini Tanga 
(Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)

0 comments: