MKUU WA WILAYA KINONDONI MGENI RASIMI KATIKA HAFLA YA USONJIMmiliki wa Kituo cha watoto wenye Usonji kilichopo kunduchi, Shaban Geweli (kulia)  akizungumzia Dar es Salaam leo katika hafla fupi mbele ya waandishi wa habari (pichani hawapo) jinsi ya mtu mwenye tatizo hilo anavyokuwa na yeye akiwa na mtoto mwenye tatizo hilo na kesho April 8, 2017 watakuwa na maandamano yakuhamasisha yatakayo anzia Chuo cha Ustawi wa Jamii na kuishia hapo ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Hapi, kushoto ni Balozi wa kujitolea kutoka Maxmalipo Autism Tanzania, Emmanuel Likunda. 
Balozi wa kujitolea kutoka Maxmalipo Autism Tanzania, Emmanuel Likunda akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari pichani hawapo. (PICHA NA KAMISI MUSSA) 

0 comments: