MAMA MAGUFULI ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA KUTOA MISAADA KWA WAGONJWA KATIKA TAASISI YA SARATANI YA OCEAN ROAD JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 6:34 AM
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akilakiwa na Dkt. Julius Mwaisalage
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es
salaam alikoenda kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada
kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa
yeye.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na mganga mkuu wa Mkoa wa Dar
es salaam Dkt. Grace Magembe wakati alipowasili kusherehekea siku yake
ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya
Saratani ya Oceanm Road jijini Dar es salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na Diwani wa Kata ya Kivukoni Mhe. Henry Sato Massaba wakati
alipowasili kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa
wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Oceanm Road jijini Dar
es salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na Katibu Tawala wa
Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo alipowasili kusherehekea siku yake
ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya
Saratani ya Oceanm Road jijini Dar es salaam.
Sehemu ya wageni na wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road wakifuatilia hotuba zikitolewa wakati wa hafla hiyo, aliwemo aliyevaa koti mbele ni Katibu Tawala wa
Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo
Sehemu ya wageni na wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road wakifuatilia hotuba zikitolewa wakati wa hafla hiyo

Sehemu ya wageni na wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road wakifuatilia hotuba zikitolewa wakati wa hafla hiyo akiwemo katikati mstari wa mbele ni Mganga Mkuu wa Hospitali ya Ilala, Victoria Ludovick
Sehemu ya wageni na wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road wakifuatilia hotuba zikitolewa wakati wa hafla hiyo
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli na meza kuu wakimsikiliza Dkt. Julius
Mwaisalage Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini
Dar es salaam
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Sophia Mjema akimkaribisha Mama Janeth Magufuli kuongea

Sehemu ya wageni na wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road wakishangilia hotuba zikitolewa wakati wa hafla hiyo

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akikaribishwa kuongea na Mkuu wa
Wilaya ya Ilala Mhe. Sophia Mjema wakati wa kusherehekea siku yake ya
kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya
Saratani ya Oceanm Road jijini Dar es salaam.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akiongea machache wakati wa kusherehekea
siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika
Taasisi ya Saratani ya Oceanm Road jijini Dar es salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiongea machache wakati wa
kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa
waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Oceanm Road jijini Dar es
salaam.

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimsikiliza Mkuu wa Wilaya Mhe Sophia
Mjema akitoa maelezo mafupi ya zawadi ambazo kinamama wa Wilaya za
Temeke na Ilala wametoa kumuunga mkono Mama magufuli wakati wa
kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa
waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Oceanm Road jijini Dar es
salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipokea toka kwa Mkuu wa Wilaya Mhe
Sophia Mjema sehemu ya zawadi ambazo kinamama wa Wilaya za Temeke na
Ilala wametoa kumuunga mkono Mama magufuli wakati wa kusherehekea siku
yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika
Taasisi ya Saratani ya Oceanm Road jijini Dar es salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipokea toka kwa Mkuu wa Wilaya Mhe
Sophia Mjema sehemu ya zawadi ambazo kinamama wa Wilaya za Temeke na
Ilala wametoa kumuunga mkono Mama magufuli wakati wa kusherehekea siku
yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika
Taasisi ya Saratani ya Oceanm Road jijini Dar es salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkabidhi Mkurugenzi wa Taasisi ya
Saratani ya Ocean Road Dkt. Julius Mwaisalage alizopokea toka kwa Mkuu
wa Wilaya Mhe Sophia Mjema kama sehemu ya zawadi ambazo kinamama wa
Wilaya za Temeke na Ilala wametoa kumuunga mkono Mama magufuli wakati
wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa
waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Oceanm Road jijini Dar es
salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkabidhi Mkurugenzi wa Taasisi ya
Saratani ya Ocean Road Dkt. Julius Mwaisalage misaada ambayo ametoa
kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa wagonjwa waliolazwa katika
Taasisi hiyo jijini Dar es salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (katikati) akimkabidhi Mkurugenzi wa Taasisi ya
Saratani ya Ocean Road Dkt. Julius Mwaisalage misaada ambayo ametoa katika
kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa wagonjwa waliolazwa katika
Taasisi hiyo jijini Dar es salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwapa pole wagonjwa wakati wa
kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa wagonjwa waliolazwa katika
Taasisi hiyo jijini Dar es salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkabidhi zawadi kwa mmoja wa
wagonjwa katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa na wagonjwa
waliolazwa katika Taasisi ya saratani ya Ocean Road jijini Dar es
salaam.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akiomba dua na baadhi ya wagonjwa

wa Rais Mama Janeth Magufuli alipotembelea wodi za Taasisi ya
Saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam na kusherehekea siku yake
ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali
hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkabidhi msaada mmoja wa wagonjwa
waliolazwa katika Taasisi ya saratani ya Ocean Road jijini Dar es
salaam.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akiomba dua na baadhi ya wagonjwa
waliolazwa katika Taasisi ya saratani ya Ocean Road jijini Dar es
salaam.
Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Theresia Mmbando akimshukuru Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli kwa kutembelea Taasisi ya Saratani ya
Ocean Road jijini Dar es salaam na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa
kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako
ndiko alikozaliwa yeye.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipongezwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala kwa
kutembelea Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam na
kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa
waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli katika picha ya mapoja na viongozi mbalimbali wakiwemo waganga wakuu wa mikoa
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wakiwemo wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam baada ya kuwatembelea wagonjwa na
kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa
waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na meza kuu katika picha ya pamoja na
uongozi wa Serikali za mitaa za Kivukoni na Sea View Taasisi ya
Saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam na kusherehekea siku yake
ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali
hiyo .
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na meza kuu katika picha na Skauti
alipotembelea Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam
na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa
waliolazwa katika hospitali hiyo
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli alipotembelea Taasisi ya Saratani
ya Ocean Road jijini Dar es salaam na kusherehekea siku yake ya
kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimia ndugu waliofika kuona
wagonjwa alipotembelea Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar
es salaam na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa
wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.

wa Rais Mama Janeth Magufuli akiagana na Dkt. Julius Mwaisalage
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es
salaam baada ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa
wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa
yeye. PICHA ZOTE NA IKULU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: