ZANZIBAR YAPUNGUZA DENI LA TANESCO, KUTOKATIWA UMEME BAADA YA KULIPA BILIONI 10Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein
walipokutana Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 19, 2017. Taarifa ya Ikulu (hiyo hapo chini), imemnukuu Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo amabye naye alihudhuria mkutano juo akisema' "Wananci wa Zanzibar muondoe hofu, umeme hautakatwa, kwani tayari Serikali ya SMZ imelipa kiasi cha shilingi Bilioni 10 kati ya fedha ambazo TANESCO inaidai ZECO. Soma zaidi taarifa hiyo. (PICHA NA IKULU)


0 comments: