WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA BALOZI WA IRAN JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Iran Nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang kabla ya mazungumzo yao, kwenye Makazi yake, Oysterbay jijini Dar es salaam, Machi 17, 2017. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Iran Nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang kwenye Makazi yake, Oysterbay jijini Dar es salaam.

0 comments: