Naibu Waziri wa TAMISEMI, Suleman Jafo (kulia) akisindikizwa na Rais wa Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania, Dkt. Lorna Carneiro baada ya Maadhimisho ya Kilele cha Afya ya Kinywa na Meno Kitaifa Mkoani Dodoma leo, katika eneo la Nyerere square
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Suleman Jafo akiagana na Daktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili , Dkt. Anold Mtenga (kushoto) mara baada ya Maadhimisho ya Kilele cha Afya ya Kinywa na Meno Kitaifa Mkoani Dodoma leo, katika eneo la Nyerere square
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Suleman Jafo (wa nne) katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi mbalimbali mara baada ya kufunga Maadhimisho ya Kilele cha Afya ya Kinywa na Meno Kitaifa Mkoani Dodoma leo, katika eneo la Nyerere square ambapo zaidi ya wananchi 641 wameonwa
Rais wa Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania, Dkt. Lorna Carneiro (kushoto) akimpatia dawa ya Meno Kaimu Mganga Mkuu Hospitali ya Mkoa wa Dodoma, Dkt. Mzee Nassoro
Daktari wa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma, Athanas Masele (wa pili kulia) akimfanyia uchunguzi wa kinywa mwandishi wa habari wa Gazeti la Tanzania Daima wa kituoni cha mkoani humo, Hamida Ramadhan wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha Afya ya Kinywa na Meno Kitaifa Mkoani Dodoma leo
Daktari wa Kinywa na Meno wa Hospitali inayo milikiwa na Kanisa la Anglikana ya mjini humo, Dkt. Magoma akimfanyia uchunguzi wa kinywa Diwani Kata ya Madukani Mtaa wa Relini, Saphia Samhonda wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha Afya ya Kinywa na Meno Kitaifa Mkoani Dodoma leo,
Daktari wa Hospitali ya Taifa Muhumbili ya Jijini Dar es Salaam, Dkt. Deogratias Kilasara akielekeza jambo wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha Afya ya Kinywa na Meno Kitaifa Mkoani Dodoma leo,
Wananchi wakiwa katika Maadhimisho hayo
0 comments: