RAIS DKT MAGUFULI ATATUA MATATIZO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI KIJIJI CHA FUKAYOSI WILAYANI BAGAMOYO MKOA WA PWANI
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 3:34 AM
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisiliza
changamoto za wakulima na wafugaji katika kjijiji cha Fukayosi wilaya ya
Bagamoyo mkoa wa Pwani aliposimama kwa muda na hatimaye kutoa
maelekezo ya namna ya kutatua migogoro hiyo akiwa njia kuelekea Dar es
salaam akitokea katika ziara ya kikazi ya Dodoma jana Machi 17, 2017.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na
wanakjijiji wa Fukayosi wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani aliposimama
kwa muda na hatimaye kutoa maelekezo ya namna ya kutatua migogoro kati
ya wakulima na wafugaji akiwa njia kuelekea Dar es salaam akitokea
katika ziara ya kikazi ya Dodoma .
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maagizo
kwa Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Mhe. Maggid Mwanga baada ya kuongea na
wanakjijiji wa Fukayosi wilayani humo aliposimama kwa muda na hatimaye
kutoa maelekezo ya namna ya kutatua migogoro kati ya wakulima na
wafugaji akiwa njia kuelekea Dar es salaam akitokea katika ziara ya
kikazi ya Dodoma .
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na
wanakijijiji wa Fukayosi wilayani humo aliposimama kwa muda na hatimaye
kutoa maelekezo ya namna ya kutatua migogoro kati ya wakulima na
wafugaji akiwa njia kuelekea Dar es salaam akitokea katika ziara ya
kikazi Dodoma jana Machi 17, 2017. (PICHA NA IKULU)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: