RAIS DK. SHEIN AWASILI INDONESIA, KUHUDHURIA MKUTANO WA IORA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein  akiwa katika ukumbi wa watu mashuhuri,  baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno -Hatta Jakarta nchini humo, kuhudhuria Mkutano wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi (IORA) kumwakilisha Rais John Magufuli

0 comments: