MKUU WA MKOA AFANYA OPERESHENI YA KUSTUKIZA KWENYE MADANGURO

Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud amefanya operesheni ya kushtukiza alfajiri ya leo machi 14 katika yaliyodaiwa kuwa ni madanguro ya ukahaba yaliyopo kwenye bar ya New Happy michenzani na kwa Raju.Amesema operesheni hizo ziatakua endelevu ili kukomesha vitendo hivyo kutoendelea huko Zanzibar na ambapo ita thibitika hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao ili kutoa fundisho kwa wengine.
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud akiwa katika operesheni hiyo kwa Raju.Hii ndio hali alio kutana nayo Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud akiwa pamoja na maafisa wajeshi la polisi

0 comments: