MKUTANO WA JUMUIYA YA NCHI ZINAZOPAKANA NA BAHARI YA HINDI(IORA) NCHINI INDONESIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa Indonesia Joko Widodo, ambae ni Mwenyekiti wa Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi (INDIAN ASSOCIATION-IORA) kabla ya kuanza kwa mkutano huo uliofanyika jana katika ukumbi wa Balai Sindang Mjini Jakarta Indonesia,Rais Dk.Shein anamuakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli.
Rais wa Indonesia Joko Widodo, ambae ni Mwenyekiti wa Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi (INDIAN ASSOCIATION-IORA) akisalimiana na Rais wa Msumbiji Philipe Nyusi wakati wa mkutano IORA uliofanyika jana katika ukumbi wa Balai Sindang Mjini Jakarta Indonesia ambao ulihudhuriwa na Viongozi wakuu wa Nchi mbalimbali.
Viongozi Wakuu wa Nchi mbali mbali wakiwa nkatika Picha ya pamoja wakati wa Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi (INDIAN ASSOCIATION-IORA) uliofanyika jana katika ukumbi wa Balai Sindang Mjini Jakarta Indonesia,ambapo Rais Dk.Shein (wa tatu kulia)anamuakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli katika mkutano huo (Picha na Ikulu).

0 comments: