Taarifa iliyosainiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, imesema Mkutano huo unafanyika kufuatia mageuzi makubwa yanayofanyika nadani ya Chama ambayo yanahitaji kufanyika kwa marekebisho ya Kanuni na Katiba ya CCM.
Ifuatayo ni Taarifa rasmi, tafadhali isome upate taarifa kwa kina kuhusu mkutano mkuu huo na mengine yatakayojiri
0 comments: