HABARI NAOMBA MPOKEE STORI YA MEYA WA JIJI LA DSM
To
Z4NEWS TV ONLINE DailyGame Tv mike utouh MWAMBA WA HABARI news@dar24.com and 3 more...
Today at 4:15 PM
---------- Forwarded message ----------
From: Christina Mwagala <tinamwagala@gmail.com>
Date: 2017-03-21 3:58 GMT-07:00
Subject: HABARI NAOMBA MPOKEE STORI YA MEYA WA JIJI LA DSM
To: Ahmad Michuzi <amichuzi@gmail.com>, Z4NEWS TV ONLINE <ahmedrashidkombo@gmail.com>, mike utouh <mike.utou@gmail.com>, Edwin Moshi <edwinmoshi2@gmail.com>, MWAMBA WA HABARI <mwambawahabari@gmail.com>, Imma Msumba <immamasimba@gmail.com>, Moshi Shabani <mo7tanzania@gmail.com>, Reginah Mkonde <reginahmkonde@gmail.com>, mteiexaudi1@gmail.com

MEYA wa jiji
la Dar es Isaya Mwita leo ameondoka nchini kuhuzuria mkutano wa siku tatu wa
munganiko wa serikali zamitaa duniani ( ICLEI
) utakaofanyika huko nchini Afrika Kusini hapo kesho.m
Mkutano huo
ambao utahusisha mameya wote wa Afrika, utajikita kushugulikia mabadiliko ya
tabia ya nchi pamoja na kuhakikisha matumizi mazuri ya utumiaji wa rasilimali
za nchi.
Aidha kupitia
mkutano huo ikiwemo kujadili mabadiliko ya tabia ya Nchi, itajikita zaidi hususani
kujikinga na majanga ya mafuriko pamoja na kutafuta suluhisho la matatizo ya
maji kwenye majiji.
Katika suala
la maji ,mkutano huo meya wa jiji atawasilisha mada inayohusiana na kuondokana
na tatizo la maji katika jiji la Dar es salaam kupitia vyanzo vya maji ikiwemo
Ruvu chini, Kimbiji pamoja na vyanzo vingine.
Aidha kwa
upande wa suala zima la mafuriko, Meya Isaya pia atawasilisha mada kuhusiana na
mafuriko ambapo katika mkutano huo wote kwa pamoja watajadili pamoja na
kujengewa uwezo katika kuendesha majiji yao sambamba na kukabiliana na majanga yaliyopo.
Itakumbukwa
kwamba jiji la Dar es Salaam ni miongoni mwa majiji ambayo hukumbana na changamoto
ya mafuriko, ambapo kupitia mkutano huo wakazi wa jijini hapa itawasaidia
kuondanokana na changamoto hiyo.
Meya wa jiji
atarejea nchini Machi 25 mwaka huu.
0 comments: