KIVUKO CHA MV KAZI CHASHUSHWA MAJINI TAYARI KWA KUFANYIWA UKAGUZI WA MWISHO NA KUANZA KAZI.
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 12:34 PM
Kivuko
cha MV KAZI kikielea majini baada ya kushushwa kwa mara ya kwanza
tayari kwa kufanyiwa ukaguzi wa mwisho kabla ya kuanza kazi. Kivuko
hicho kitakua kikitoa huduma zake kati ya Magogoni na Kigamboni na
kitakua na uwezo wa kubeba abiria 800 na magari 22 kwa wakati mmoja.
Muonekano
wa kivuko kipya cha MV KAZI mara baada ya kushushwa majini kwa mara ya
kwanza tayari kwa kufanyiwa ukaguzi wa mwisho kabla ya kuanza kazi,
kivuko hicho kitatoa huduma zake kati ya Magogoni na Kigamboni na
kitakua na uwezo wa kubeba abiria 800 na magari 22.
Kivuko
cha MV KAZI kikisubiri kushushwa kwa mara ya kwanza majini kufanyiwa
ukaguzi wa mwisho, kivuko hicho kitakua kikitoa huduma zake kati ya
Magogoni na Kigamboni na kitakua na uwezo wa kubeba abiria 800 na magari
22
Kivuko
cha MV KAZI mara baada ya kushushwa majini kwa mara ya kwanza tayari
kwa kufanyiwa ukaguzi wa mwisho kabla ya kuanza kazi, kivuko hicho
kitatoa huduma zake kati ya Magogoni na Kigamboni na kitakua na uwezo wa
kubeba abiria 800 na magari 22.
Mkurugenzi
wa kampuni ya MS Songoro Marine Boatyard ya jijini Mwanza Major Songoro
mwenye kofia akiwa kwenye kivuko cha MV KAZI mara baada ya kukishusha
majini kwa mara ya kwanza tayari kwa ukaguzi wa mwisho. Kivuko hicho
chenye uwezo wa kubeba abiria 800 na magari 22 kitakua kikitoa huduma
zake kati ya Magogoni na Kigamboni. (PICHA ZOTE NA TEMESA)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: